- Joined
- Oct 9, 2025
- Messages
- 38
Watu wengi waliwahi kuruhusu Instagram isync contacts zao bila kujua. Baada ya muda, wanataka kujua: namba hizo ziko wapi? Na naweza kuzipata tena?
Hapa kuna ukweli muhimu kabla ya kuanza:
Instagram hairuhusu kuona namba za simu za watu wengine kwa siri. Kinachowezekana ni kuona data yako mwenyewe uliyowahi kuipa Instagram.

Hebu tuvunje vizuri.
Hatua:
Ukishadownload, fungua folder la Contacts au Connections. Hapo ndipo utaona namba ulizowahi kusync.
au ukiona njia ya ku download file ni ngumu basi ukishafika step ya 4 utaona sehemu imeandikwa manage contacts, au click link hii kuona direct link
Hapo utaona namba zako zote ulizowahi kuwa nazo kwenye simu yako.
Hapa kuna ukweli muhimu kabla ya kuanza:
Instagram hairuhusu kuona namba za simu za watu wengine kwa siri. Kinachowezekana ni kuona data yako mwenyewe uliyowahi kuipa Instagram.

Hebu tuvunje vizuri.
1. Kupakua Data zako Kutoka Instagram (Njia Rasmi)
Instagram inakuruhusu kupakua kila kitu ulichowahi kushare nao, ikiwemo contacts kama ulizisync.Hatua:
- Fungua Instagram
- Nenda Profile → Settings & privacy
- Chagua Accounts Center
- Bonyeza Your information and permissions
- Chagua Download your information
- Chagua data unayotaka (hakikisha Contacts imechaguliwa)
- Subiri email ya download link (huweza kuchukua masaa au siku)